P-FUNK majani atamka hadharani na kukili kuwa mwanamuziki wa kizazi kipya HEMEDI bado hajakuwa kimuziki,alitamka maneno hayo ndani la shindano la BSS pindi mshiriki mmoja alipoimba nyimbo ya HEMEDI,alipopewa nafasi jaji MAJANI ndipo alipotamka nakumwambia mshirki nyimbo aliyochagua haikuwa na ubora kutokana na muimbaji mwenyewe pia hana kiwango,akalinganisha na mwanamuziki MAKAMUA na STIVE akasema hawa HEMEDI hawawezi.