Wednesday, March 30, 2011

MTOTO WA KANAL GHADAF AFARIKI DUNIA

Mtoto wa raisi wa Libya kanali Gadaf amefariki dunia katika hospitali iliopo Tripoli nchini Libya baada ya kupata shambulio siku ya jumamosi baada  ya ndege ya kivita ya jeshi la Libya lubani kuidondosha makusudi ktk nyumba aliyokuwa akiishi mtoto huyo wa Ghadaf,iliyosababisha aungue moto iliyofanya apate majeraha yaliyosababisha alazwe mpaka kifo kilipo mkuta.                                                                                         

Tuesday, March 29, 2011

CRISIS IN LIBYA

 Pro Ghadaf forces used heavy weapon to check a rebel advance on the coastal city of Sirte,The Libyan leaders birth place and a key target for westward advancing rebels






CHANZO NI UTAWALA
Wananchi wanataka Ghadaf ang'atuke madarakani wakati Ghadaf bado anang'ang'ania kutawala,
Wapinzani sasa wanatawala mikoa saba kati ya mikoa 12 na Ghadaf kabaki na mikoa miatano tu kati ya hiyo,

                                                             Raisi wa Libya Ghadaf


Pro Ghadaf forces used heavy weapon to check a rebel advance on the coastal city of Sirte,The Libyan leaders birth place and a key target for westward advancing rebels

UZINDUZI WA KIKOSI CHA MIZINGA WARUDISHA HISTORIA

KIKOSI CHA MIZINGA WAKOSHA WADAU WA HIP HOP




Uzinduzi wa album ya kikosi cha mizinga inayokwenda kwa jina la MAISHA YANGU NYIMBO TOSHA umerudisha heshima ya hip hop,uzinduzi huo uliohudhuliwa na watu kibao wanaharakati wa hip hop Tanzania,uzinduzi huo ulihudhuliwa na kina ZAVALA,LINDU producer wa hip hop,IMAM ABASS na wadau mbali mbali wa hip hop,hii inaonesha heshima kubwa ya muziki wa hip hop,Kalapina anasema haikuwa laisi kutetea na kusimamisha hip hop mbele ya watu wasiotaka kuuskia muziki huu ukiendelea kuishi,ila  mapinduzi yamefanikiwa kwa kiasi flani kwa kuwashawishi wale walioupinga muziki huu na kuona madhumuni ya Kalapina kwenye muziki wa hip hop,Uzinduzi huu ulipewa suport na wasanii kibao kama Mwana fa na Ay,Nash mc,Capital l8er,Kino massive Bdp, kutoka kenya yupo Kimya......,kuna Hard mad,Ibrah rush,Dogo Zimwi na wengine kibao,amani kwa Kalapina kwa kuwa na moyo wa pekee kutetea muziki wa hip hop maana katoka nao mbali sana.

Sunday, March 27, 2011

KIKOSI KUITEKA DAR NDANI YA MAISHA CLUB JPILI

                                                              Ibrah RuSH ktk pozi

                                                                  Kalapina ndani ya pozi

siku ya jpili 27 march kikosi cha mizinga with kalapina watazindua album yao inayokwenda kwa jina la MIASHA YANGU NYIMBO TOSHA wakisindikizwa na watu kibao Mwana Fa,Ay,Madee ,Godzilla ,Kimya, Black T,Ukoo Flani Mau mau watotot wote wa kino B.o.b  Ibrah Rush,Big DOG Pozy na wengine wengi,hii sio ya kumiss maana wajanja wote watakuwepo kule

20 PERCENT ANG'ARA TUZO ZA KILI 2011

 
Msanii wa bongo flava 20 Percent anyakua tuzo 5 za kilimanjaro awards,akiwa kama mtunzi bora wa nyimbo,muimbaji bora wa kiume,wimbo bora wa mwaka na zingine,hii ni mara ya pili kwa 20 Percent kuchukua tuzo hizi za kilimanjaro,japo akuhudhulia tuzo hizo ila tuzo zake zilipokelewa na producer wake Man Water,big up sana kaka kaza buti

Saturday, March 26, 2011

MISS KINONDONI 2009 AMNE NG'HUMBI NA DEGREE NDANI YA UK

Miss kinondoni 2009 Amne ng'humbi akiwa pande za London kimasomo ktk chuo cha Uni of Buckingham LLB kilichopo Uk,Miss Amne ni moja ya mamiss tanzania ambao waliowezafanikiwa kielimu ukilinganisha na  mamiss wengine,kipindi anashiriki umiss alikuwa akisubiri matokeo yake ya A level,akiwa bado ktk mashindano Amne alipata matokeo yake ya A level akiwa ktk kinyanganyilo cha kumtafuta  kitongoji cha miss moroco,na matokeo yalikuja Amne alifaulu kwa kiwango cha darjaa la kwanza yani DIVISION 1 na pia kwenye umiss akaja kufanya vizuri,hii inaonesha jinsi gani miss huyu alivyo makini kwa kile anachofanya,sis kama Smiling faces tunamtakia mafanikio mema ktk masomo yake hayo aweze fanya vizuri kama historia yake inavyojieleza.

TANZANIA KILI MUSIC AWARDS 2011

Hard mad kidume mkushi alamba tuzo ya kili music award wimbo  bora wa rege,
na wengine waliobahatika kubeba tuzo ni pamoja na lina toka tht na tuzo ya msanii chipukizi,
orodha ya watu waliochukua tuzo hii hapa

Wimbo bora wa zouk-Barnaba
Mtunzi bora nyimbo- 20 percent
Wimbo bora wa raggae- Hard mad
Wimbo bora wa rnb- Ben Paul
Wimbo bora wa dance hall- Cpwaa
Mtarishaji bora wa nyimbo(producer)-Lamar
Wimbo bora wa E.africa- nisamehe by Kidumu
Msanii bora wa hip hop- Joe Makini
Wimbo bora wa hip hop-Ukisikia paa by JCB
Wimbo bora wa mwaka- Action by Cpwaa
Rapa bora wa band- Khalled Chokoraa
Msanii mpya anaechipukia- Linah
Hall of fame-TBC
Hall of Fame kwa mtu binafsi- Saidi Mabele
Muimbaji bora wa kiume- 20 percent
Wimbo bora wa mwaka- 20 Percent
Msanii bora wa kike-Lady JD


cpwaa akiwa ktk pozi na mrembo Trinity toka pande za LA(ACTION)

                                 
                                                         Msanii Ben Paul ktk pozi

Saturday, November 27, 2010

DARLING HAIR NAO WATOA ZAWADI KWA WAREMBO TZ NEXT TOP MODEL


Kampuni ya kutengeneza nywele tanzani Darling industry leo imetoa zawadi kwa washiriki wa kinyanganyiro cha kumsaka TANZANIA NEXT TOP MODEL 2010 itakayofanyika 3 december 2010 ndani ya SWEET EASY Osterbay.
akipokea zawadi hizo mkurugenzi wa kampuni ya Smiling faces na waandaji wa shindano hilo Carolyne Zayum ba ktk ofisi za Darling zilizopo maeneo ya Tazara mjini Dar es salaam,Smiling faces wanatoa shukrani kwa wadhamini wa DARLING & SHEAR ILLUSION

Wednesday, November 24, 2010

SHEAR ILLUSION WATOA ZAWADI




SHEAR ILLUSSION watoa zawadi kwa washiriki wote wa TANZANIA NEXT TOP MODEL




akitoa zawadi hizo kwa warembo hao ktk ofisi zake za MILLENIUM TOWER jana,akimkabidhi zawadi hizo mkurugenzi wa kampuni ya smiling faces Carolyne Zayumba,alitoa zawadi hizo kwa washiriki wote wa shindano hilo la TANZANIA NEXT TOP MODEL ambalo linatalajia kufanyika tarehe 3/december 2010 ndani ya SWEET EASY.ambapo mshindi atakae patikana siku hiyo atajiaptia nafasi ya kwenda kusoma shule ya modeling nchini KENYA ,NAIROBI sambamba na kifuta jasho kwa washiriki waliobakia.

Monday, November 22, 2010

BIEBER IMPRESSES RIHANNA







Rihanna has confessed she has a secret crush on Justin Bieber- after the teen hunk showed her ripped stomach muscles in a restaurant.

BEYONCE MOM: SHES NOT PREGNANT


1020_beyonce
Beyonce & Jay-Z are having a baby -- at least according to one media report.

The couple is expecting their first child, according to SMILING FACES NEWS, and Knowles is currently in her first trimester.

Citing a source, the magazine says Beyonce "wasn't ready to be a mother just yet" but realizes "this is a gift from God and she's so happy."

So far, no confirmation from B's camp.


Monday, July 12, 2010

MISS TEMEKE 2010

Hey stop it!! No pictures please!!!!!
Mr Hashim Lundenga was very busy traying to stop PAPARAZ!!

Geneviv before Crowned Miss TEMEKE!


Thursday, May 6, 2010

WAT! WE DO WAT WE DO!

ZAMARAD, MO & ADAM MCHOMVU IN RED CARPET AWARDS 2010

9T OF RED CARPET AWARDS


MORACKER, DJ CHOKA,ZAMARAD,DINA & JACQLINE

2010 GOOD YEAR FOR ME


RAQEY BEST FASHION PHOTOGRAPHER

BEST MALE MODEL & BEAUTY QUEEN IN RED CARPET AWARDS


THE 9T OF RED CARPET AWARDS


Ally Rehmtula, michuzi n Ally's friend!

Tuesday, May 4, 2010

SMILING FACES COMPANY
RED CARPET AWARDS 2010 RAQEE: BEST PHOTOGRAPHER & ASIA IDORAOUS: BEST MOTHER OF FASHION

MO RACKA: MOST ATRACTIVE ARTIST


STIVEN KANUMBA: BEST ACTOR & JACQULINE WOLPER: THE SEXIEST ACTRESS



DINA MARIOS & ZAMARAD MKETEMA: BEST SOCIAL PROGRAM LEO TENA


MARTIN KADINDA: BEST MALE MODEL

KHADIJA MWANAMBOKA:MOST KIND DESIGNER