GORDON BROWN ,TONNY BLAIR WAKOSA MUHALIKO,BALOZI WA SYRIA NA MALAWI MIHALIKO YAO YAFUTWA GHAFLA
Harusi ya mjukuu wa Malkia Elizabeth wa uingereza inayotaraji kufungwa masaa machache yajayo imeambatana na vituko mbalimbali na vya kustahajabisha baada ya mawaziri wakuu Tony Blair na Gordon Brown kunyimwa muhaliko huo muhimu kilichopelekea watu hawa kukosa muhaliko ni kile kinachodaiwa watu hawa ni wale wanaopinga utawala wa kifalme nchini humo kuwa hauna mana yoyote ktk dunia ya sasa,kwahiyo hawa mawaziri ni maadui wakubwa wa mda mrefu na koo hii ya kifalme,
Upande mwingine balozi wa Syria amefutiwa muhaliko wake baada ya vyombo vya habari kuandika habari nyingi kuwa balozi huyo wa Syria awezi kuhudhuria sherehe hizo ikiwa nchini kwake kuna matatizo bado,nae balozi wa Malawi kafukuzwa nchini humo baada ya balozi wa Uingereza nchini Malawi kufukuzwa nchini Malawi kwa madai kuwa balozi huyo anamshutumu raisi wa nchi hiyo bwana Joseph Chisano kuwa ni dikteta.na wako wengi muhimu waliokosa muhaliko huo basi hivi ni vituko vya kustahajabisha ndani ya harusi hii ya mjukuu wa malkia Elizabeth
GORDON BROWN
TONY BLAIR
Malawian ambasador
Prince William na Keth
No comments:
Post a Comment
wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia