Hizi ni behind scene za movie ya BLACK FOREST wakiwa katika scene za mwisho mwisho kuimalizia na kuingia editing na kuelekea sokoni,movie hii yenye story ya kusisismua iliyosimamiwa na Director Carolyne P. Zayumba,iliyochezwa ktk msitu wa pande na baadhi ya scene kuchezwa mjini,ni story ya mauaji,usikose filamu hii.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiLFETvXbf9XLSpmca-ayBaSpb3SBpduscAIaIQ_Lfu0hBdpWu92DsFRkLQB5NluolC5z79c89TilUOeRMDApd19IQoxdwDJXZRcj35V1p5AjoXOYbqp9flgv9AjoBtZL6UISZVXvkeON93/s320/facebookaholics%2521%2521%2521+118.jpg)
hii ni sehemu tu ya filamu ya Black Forest
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiFAsp0XOSkBQCz6Jh_yLydXG1hbjL3Y8h476Xls6-Nmap6o0RQrG66v8I0HsC9L2ux3OFpZpJtRtQnFEOgBJCYGuor9gOmJcihCp_MHFcV8mxvhti6zFbpAwAS-1pIzHtrC36adito92j9/s320/facebookaholics%2521%2521%2521+109.jpg)
Director Carolyne P. Zayumba akiwa makini akisimamia filamu hiyo
No comments:
Post a Comment
wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia