carolyne
.Director of smiling Faces Company
.Asha.. MshindiMkurugenzi wa Smiling Faces Company Carolyne Peter Zayumba ametangaza majina ya mshindi wa shindano la Tanzania Next Top Model ambae ni Pablo junior carter1 katika Model wa kiume na kwa upande wa Model wa kike ni Asha Suleiman.
Pablo.. Mshindi
No comments:
Post a Comment
wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia