Chama cha mapinduzi CCM kimeingia kwenye atua ingine baada uongozi wake kutaka kufanya marekebisho katiba yake ya kutaka kumpunguzia madaraka mengi mtu mmoja,atua hiyo imepingwa vikali na baadhi y wanachama hao wa ccm waliopo madarakani, wakidai hatua hiyo itasababisha chama hicho kuharibu demokrasia ndani ya chama na hata nje na kukidhohofu,ila wakati huo huo wanachama wa chini wamefurahishwa na uamuzi huo na kuunga mkono kwa asilimia zote.
No comments:
Post a Comment
wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia