Habari za kusikitisha kwa Watanzania, leo wamekumbwa na msiba wa kusikitisha baada ya kumpoteza Muigizaji bora Mkongwe wa Tanzania. Habari zinasemekana kwamba Mzee Fundi Said Kipara amefariki nyumbani kwake Maeneo Ya Kigogo leo. Watu wa karibu wa Marehemu Mzee Kipara walipoongea na Mwandishi wetu leo walisema kwamba Mzee Kipara alifariki kwa uzee pamoja na maradhi madogomadogo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu.Tumepokea taarifa hii kwa masikitiko Makubwa, Mungu Ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen.
No comments:
Post a Comment
wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia