Tuesday, April 12, 2011

HIP HOP KUIONGANISHA AFRIKA MASHARIKI

Kati ya harakati zifanywazo na KIKOSI CHA MIZINGA ni kutanua wigo wa kimuziki kusambaza harakati si Tanzania tu bali ni Afrika nzima, kwa kuanza harakati hizi wameanza kwanza na Afrika Mashariki,kati ya vitu walivyoanza navyo kwa kushirikiana na baadhi ya wasanii mbalimbali kutoka sehemu tofauti kama Kampala Uganda,Kigali Rwanda,Narobi Kenya,Bujumbura Burundi na nchi za karibu na Tanzania,Kikosi imeshirikiana na wasanii kama Back T kutoka Kigali Rwanda kwa kufanya wimbo wa pamoja unaokwenda kwa jina la URAFIKI umefanyika ktk studio za TATOO RECORDZ chini ya producer Pallah wakizungumzia ukaribu wao na harakati za kuionganisha Afrika kwa HIP HOP

  Wasanii Ibrah Rush,Kalapina,Back T na Suma Lago
             Kalapina na Back T

No comments:

Post a Comment

wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia