Wednesday, September 16, 2009

this amazing

NI AJABU LAKINI KWELI
BOXER VS KICK BOXER



wats up young babylone


HERI SAMIRI
Anajulikana kama MR BLUE YOUNG BAISSA,alifunika sana kipindi cha nyuma where are you mashabiki wako wanakuitaji urudi kama mwanzo

hemedi kupewa kweli

p.funk: hemed bado kimuziki
P-FUNK majani atamka hadharani na kukili kuwa mwanamuziki wa kizazi kipya HEMEDI bado hajakuwa kimuziki,alitamka maneno hayo ndani la shindano la BSS pindi mshiriki mmoja alipoimba nyimbo ya HEMEDI,alipopewa nafasi jaji MAJANI ndipo alipotamka nakumwambia mshirki nyimbo aliyochagua haikuwa na ubora kutokana na muimbaji mwenyewe pia hana kiwango,akalinganisha na mwanamuziki MAKAMUA na STIVE akasema hawa HEMEDI hawawezi.








Thursday, September 3, 2009

MWL. JULIUS K. NYERERE


1922-1999
MWL. JULIUS K. NYERERE
(BABA WA TAIFA)
WE MISS YOU

nelson mandela

THE AFRICA STILL NEED YOU