Wednesday, April 13, 2011

KUTANA NA MAIHIMBO ZENGE MTAALAMU WA ZAWADI,MAUA NA KADI

Anaitwa Mahimbo Zenge ofisi yake inapatikana Magomeni mtaa wa Chem chem,anashughulika na maswala ya zawadi mbalimbali kama Kadi, Maua mbalimbali ya Wedding,Graduation nk. na pia anapamba magari ya maharusi anapatikana kwa simu namba 0713 396960/ 0755232023
mahimbozenge@yahoo.com 
ukitaka zawadi nzuri ya kumpa umpendae fika magomeni mtaa wa chem chem


Mahimbo akiwa ktk ofisi yake akikagua kadi


Mahimbo akipangapanga baadhi ya zawadi ofisini kwake

No comments:

Post a Comment

wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia