Friday, April 1, 2011

THE SHOCK YA KANUMBA YA GHARIMU MIL.50

KANUMBA THE GREAT yuko ktk atua za mwisho(final editing)za filamu yake mpya ya THE SHOCK,
Kanumba ambae ameshachukua tuzo mbalimabli ikiwemo ya Smiling Faces Red Carpet Awards kama muigizaji  bora wa kiume(Best Male Actor)2010/2011,akizungumza na mwana habari wetu wa Smiling faces Kanumba alisema.. sasa hivi nipo
 katika final editing nadhani mpaka katikati ya mwezi huu wa nne filamu itakuwa tayari sokoni nachoweza kuwaambia wapenzi wangu kuwa THE SHOCK ni hatua ingine kabisa basi waionapo sokoni wasisite kutaka kuiona,                                                                                                                                                 
alimaliza Kanumba,Kanumba ni miongoni mwa nyota mkubwa wa tanzia ya filamu Tanzania na Afrika mashariki, Movie zake zinazosumbua kwasasa sokoni ni MORE THAN PAIN,UNCLE JJ,THIS IS IT,
Movie hiyo ya THE SHOCK imegharimu kiasi cha milioni 50 za kitanzania.

                                                            Kanumba The Great

No comments:

Post a Comment

wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia