Sunday, April 17, 2011

TANZANIA RED CARPET AWARDS YAJA MWEZI JULY 2011

HAWA NI BAADHI YA WALIOPATA TUZO MWAKA JANA

Issa michuzi akipata tuzo ya Blog bora ya mwaka

                                       Shamim akipata tuzo ya Blog bora ya fashion

                                      Johari alipata tuzo ya msanii bora wa kike

                                      Dina Marios alipata tuzo bora ya kipindi cha jamii

                                                                 Ally Remtullah

                                       Mustapha Assanal alipata tuzo ya mbunifu bora wa kiume

Kikosi cha Mizinga pia walipata tuzo la kundi bora la hip hop

Fideline alipata tuzo ya mwanamitindo mwenye mvuto

No comments:

Post a Comment

wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia