Saturday, April 16, 2011

JAPHET KASEBA APOTEZWA NA MADA MAUGO

Haya ni mambo matano(5) yaliyofanya Kaseba kupoteza mchezo huu
kilichofanya kaseba kushindwa mchezo huu cha kwanza akujiamini tangu mwanzo wa mchezo,akuonesha mashambulizi yoyote yale zaidi ya kusubiri Maugo amletee mashambulizi,la pili Kaseba ana maamuzi sahihi yeye kama yeye,la tatu wapambe wake na kaseba ndo chanzo kikubwa cha kuharibu mchezo huu kuingia uwanjani na kuleta fujo,la nne Kaseba hakuwa tayari kuendelea na mchezo kwani alicheza faulo ya makusudi kabisa baada ya kumkata mtama Maugo nakwenda hadi chini, la tano Kaseba alivunja kanuni za mchezo wa masumbwi duniani kwa kuvua groves kabla refa ajamaliza pambano iliyopelekea refa kumpa ushindi Maugo,hii inaonyesha jinsi gani Kaseba sifa yake ilivyoshushwa,kwa ushauri tu Kaseba arudi kwenye kick boxing uku awaachie wenye kujua.
               MADA MAUGO NA JAPHET KASEBA





                ZUNGU NA YOHANA ROBERT



hapa Kaseba baada ya kuharibu pambano raundi ya saba ya mchezo

No comments:

Post a Comment

wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia