Friday, May 20, 2011

MNAJIMU MKUU SHEKHE YAHYA HUSSEIN AFARIKI DUNIA

Mnajimu mkuu Afrika mashariki shekh  Yahya Hussein amefariki dunia leo asubuhi saa nne nyumbani kwake mwembe chai,shekh yahya alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo kwa kipindi kirefu ,mazushi yanatarajiwa kufanywa hapo kesho na msiba utakuwa nyumbani kwake mwembe chai magomeni,Tunatoa pole kwa familia ya Shekh Yahya kwa msiba huu mzito.


No comments:

Post a Comment

wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia