Thursday, May 19, 2011

YUSUPH MLELA,HEMEDY SULEIMAN WAKUTANA TENA NDANI YA MY ANGEL

Wakali wawili wa filamu Tanzania vijana machachali,handsome wanaodatisha warembo kibao YUSUPH MLELA na HEMEDY SULEIMAN,wanakuja na movie moja kali sana inayokwenda kwa jina la MY ANGEL iliofanywa na production ya Bajomba ikisimamiwa na muongozaji LAMATA,katika filamu hii Yusuph Hemedy wameshirikiana pia na Slim na mwanadada Nasha na wengine watatajwa hapo badae,filamu hii inatazamiwa kuwa sokoni mwishoni mwa mwezi june mwaka huu,kama unavyojua vijana hawa wanavyowaumiza vichwa wasanii wengine katika umahili wao wa kucheza filamu mbalimbali,mpenzi wa filamu naomba usikose nakala ya filamu hii
.

No comments:

Post a Comment

wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia