Saturday, December 17, 2011

Hatimae Mkurugenzi wa Smiling Faces Company akamilisha Tamasha la Tanzania Next Top Model

carolyne.Director of smiling Faces Company

.Asha.. Mshindi

TANZANIA RED CARPET AWARDS SEASON 3 YAFANYIKA JANA!!



Atimae jana tuzo za Tanzania red carpet awards zimetolewa jana pale Regency park hotel,tuzo hizo ziliambatana na fashion show ya Tanzania next top model, katk tuzo zilizoteka ilikuwa ni BEST MALE &FEMALE MODEL,BEST ACTOR & ACTRESS,BEST SOCIAL NEWS PAPER,BEST FASHION TV PROGRAM... na zinginezo na waliobahatika kupata tuzo hizo ni Yusuph Mlela,Ndumbangwe Misayo(thea),Tuesday Kiangala,Zamaradi,Kipindi cha Leo tena.