Saturday, December 17, 2011

Hatimae Mkurugenzi wa Smiling Faces Company akamilisha Tamasha la Tanzania Next Top Model

carolyne.Director of smiling Faces Company

.Asha.. Mshindi

Mkurugenzi wa Smiling Faces Company Carolyne Peter Zayumba ametangaza majina ya mshindi wa shindano la Tanzania Next Top Model ambae ni Pablo junior carter1 katika Model wa kiume na kwa upande wa Model wa kike ni Asha Suleiman.

No comments:

Post a Comment

wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia