Beyonce Knowles alyejifungua mtoto wa kike chini ya wiki moja iliyopita, ameamua kugawa baadhi ya zawadi za mtoto wake, Blue Ivy Carter, kwa wanamama wengine walio na watoto lakini wasiojiweza.
Uamuzi huo ulitolewa na Jay Z pamoja na Beyonce baada ya kupokea zawadi kibao kutoka kwa marafiki pamoja na fans wao.
Habari zinasema kwamba wazazi hao wamepokea vitu vya dhamani sana kama lorry liliojaa vitabu kutoka kwa Oprah, na bidhaa nyingine zenye dhamani nyingi kutoka kwa marafiki wao kama Diddy, Kanye West na Mariah Carey.
No comments:
Post a Comment
wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia