Kampuni ya kutengeneza nywele tanzani Darling industry leo imetoa zawadi kwa washiriki wa kinyanganyiro cha kumsaka TANZANIA NEXT TOP MODEL 2010 itakayofanyika 3 december 2010 ndani ya SWEET EASY Osterbay.
akipokea zawadi hizo mkurugenzi wa kampuni ya Smiling faces na waandaji wa shindano hilo Carolyne Zayum ba ktk ofisi za Darling zilizopo maeneo ya Tazara mjini Dar es salaam,Smiling faces wanatoa shukrani kwa wadhamini wa DARLING & SHEAR ILLUSION