Sunday, July 26, 2009

BONGO HOSTEL

SMILING FACES COMPANYpressent BONGO HOSTEL,ni tamthilia ya kusisimua inayohusu maisha ya wanafunzi wa chuo na vituko ndani hostel, usikose kufuatilia mfululizo wa visa hivyo Itakayoanza kurushwa hivi karibuni ktk tv ya C2C, Tamthilia hiyo inaongozwa na director wao IBRAHIM C MPINGA. DONT MISS IT!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment

wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia