Thursday, April 21, 2011

MASTAR HAWA WOTE NDUGU

NI KALAPINA, SOLO THANG NA T I D

                                                                        Kalapina

                                                                     Solo Thang

                                       T i d


JAY MOE

Ni wasanii wa muziki hapa nchini Tanzania,na wote washafanya vizuri kwenye medani hii,najua wajua lakini nataka nikujuze zaidi,ni kati ya Kalapina ,Solo Thang na T i d,mwanzo ilikuwa ikijulikana kati ya kalapina na T id ila imekuja kugundulika badae sana baaada ya ndugu hawa wawili Kalapina na Solo thang,wazazi wao ndio waliokuja kuwashtua kuwa wao ni ni ndugu Kalapina anamuita dada mama yake na Solo thang,kwahiyo Solo anamuita Mjomba,kama ulishasikia kwenye wimbo mpya wa Solo amesema katika rymes zake MJOMBA KALAPINA,basi ni hayo,na upande mwingine inasemekana pia kati ya T I D na Jay Moe pia ni ndugu.

No comments:

Post a Comment

wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia