Tumesikia mengi kati ya hawa warembo waliowahi tupambia Miss Tanzania 2006 yaani Mshindi ambae aliyekuwa Miss Tanzania 2006 Wema Abraham Sepetu na Jokate Mwegelo ambae alikua 1st runner up. Blog hii imeona ni vyema kufanya survey ili kujua kati ya hawa wawili nani zaidi. Sasa basi wadau mnaweza mkaacha Comments zenu hapo chini nasi tutazirusha hewani.
HII PICHA KUTOKA MAKTABA
Wema ambae alikua mshindi na mshindi wa pili Jokate na watatu Lisa
HII WEMA SEPETU ALIVYO KATIKA POSE
HII JOKATE AKIWA KATIKA POSE
WEMA ALIVYOHOJIWA KATIKA KIPINDI CHA MIKASI
JOKATE AKIWA MC MOJA YA KAZI ANAZO ZIFANYA VIZURI SANA
Haya wadau maoni yenu ni muhimu sana, hebu tutumie hapo ili tuweze fanikisha hili libeneke.
Kaaaaazi ni kwako
jokate ni zaidi ana sifa nyingi sio kama wema mwenye skendo kila kukicha hana cha kufanya zaidi ya kupanga atatoka na kituko gani kila wiki. joketi nampenda kwanza ni binti mdogo lakini ana vipaji vingi na najitahidi kulinda heshima yake japo walimwengu hawakosi la kusema na hakuna alie kamilika. JOKATE IS THE BEST
ReplyDeletesasa mbona na jokate nae anaskendo tu ameshajishushia hadhi yake jokate alikuwa nimfano mzuri kama Hoyce Temu lakini kwa sasa ni wakina wale wale Miss wakuigwa ni Hoyce Temu tu
ReplyDeletesioni cha ku-comment kwa uzaidi ni nani, Ila cha kujenga ni kuwa Jocate alichukizwa sana na kutokuwa Miss Tz, hilo ajifunze kukubali pale panapokuwa na ushindani, pili anazidi kuonyesha bado hasira yake pale anapoenda kumwingilia mpaka kwenye mpenzi wake, na yeye ni Mkristo mzuri sana. Kumshauri aendeleze kazi yake, Huyo Diamond siyo a man for her kwanza hata hawaendani kabisa, Jocate wewe ni mtu cool, pia unapendeza ukimpata gentleman mwingine poa zaidi kuliko huto Diamond. Achana naee!! kama kweli hizi tusisikiazo ni kweli. kwanza duuh!
ReplyDeletewema and Jocate wote mpo wazuri kiukweli, hilo figure lako wema ni noma, achana na ujinga fanya yaliyo ya busara zaidi usije ukafa bure, tulia kimwana !!
jamani wote ni wazuri lakini jokate unakoelekea siko ww hamuendani kabisa na huyo diamond siyo type yako ulikuwa mfano km HOyce Temu ila sasa umeanza kuuza sura kwenye magazeti usijiaribie mwishoni umeanza vizuri sana hatukatai mapenzi hayachagui mtu ila hapo kwa diamond sipako bana huyo atakupanga tu ataufanyaje angalia kuna magonjwa tulia dada
ReplyDeletewe umeambiwa ucomment kuhusu nani mkali kuliko mwenzake and nothing else... wabongo mbona bado ha2jielewi? sasa wew mambo ya Diamond humu yanafuata nini? hebu 2badiliken maana kama ingelikuwa ni mtihani 2ngekuwa 2meshafeli kikubwa kutoelewa instructions......kwanza love relationsip is da persornal matters,so no one can interfere them....!!!! what about hao wapenzi wenu are they u're right type? so mbona hamuwaachi......jokate and diamond kama wakati wao wa kuwa pamoja ulivyofika wakawa pamoja ndio hivyo hivyo da right time kwa wao kuachana utakapofika wataachana bila ya ushauri wenuuuuu.....owkyyyy on my side wote wakali ila jokate"kate" katisha zaidi......(i'm sorry for interaption)
ReplyDeleteme naona jokate ndo katisha coz anauzuri wa halisia..................mapenzi nipopote pale hayachagui
ReplyDeletemi naona ni jokate ni mtulivu sana hauzi skendo na ni mbunifu sio kama mwenzangu wa upande wa pili yeye anachowaza ni wanaume
ReplyDelete