Wednesday, February 1, 2012

RAIA JAKAYA KIKWETE AREJEA NCHINI,

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais wa Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika, Jaji Gerald Miyungeko aliyemtembelea jana baada ya kikao cha 18 cha Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa, Ethiopia. Wengine ni Makamu wa Rais wa Mahakama hiyo…



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Rais wa Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika, Jaji Gerald Miyungeko, aliyemtembelea jana baada ya kikao cha 18 cha Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa, Ethiopia.

No comments:

Post a Comment

wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia