Monday, April 9, 2012

Rest in Peace our beloved STEVEN CHARLES KANUMBA 1984-2012

STEVEN CHARLES KANUMBA 1984-2012
Daima majonzi yetu yatakuwa pamoja na watazania kwa ujumla juu ya kifo cha mwenzetu mpendwa wetu Steven Kanumba, ambae kwa sisi tulipata bahati ya kumzawadia tuzo ya 'the best male actor 2009' ya Smilingfaces RedCarpet awards.

Marehemu akipokea tuzo yake ya the best male actor 2009 redcarpet awards
 Team nzima ya Smilingfaces Company pamoja na mimi Carolyne Zayumba tunasema tumemkosa mpiganaji wa ukweli ambae nyota yake ama ndoto zake ni kutoa ujuzi wake Hollywood baada ya kuona kwa hapa Africa ameweza gusa nyoyo za watu na kuonyesha uwezo wake na kipaji chake cha uigizaji.
Marehemu Kanumba akiwa na Jack Wolper baada ya kupokea tuzo zao
Sina Mengi ya kusema zaidi ya kumwomba Mungu amlaze mahali pema peponi. Amina.

No comments:

Post a Comment

wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia