Lasoul ambae ni Producer, Carolyne mwanamuziki akiwa na Kesky Mkurugenzi wa Keshy video lab
Mwanamuziki Carolyne p zayumba
Siku zinavyozidi kwenda wanamuziki wa kike wanakuja juu. hivi karibuni Carolyne afanya Bonge la shoo akiwa South Africa, akiwa na producer wake Lasoul walitoa habari huyo kuwa walialikwa katika party ya masuper staa wa kwamzee Mandela na kufanya vizuri sana kwa kutumbuiza wimbo wake wa In the House, mpaka sasa carolyne kasharekodi single zake mbili ambazo pia zinafanya vizuri katika radio za South Africa.
No comments:
Post a Comment
wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia