Sunday, March 27, 2011

20 PERCENT ANG'ARA TUZO ZA KILI 2011

 
Msanii wa bongo flava 20 Percent anyakua tuzo 5 za kilimanjaro awards,akiwa kama mtunzi bora wa nyimbo,muimbaji bora wa kiume,wimbo bora wa mwaka na zingine,hii ni mara ya pili kwa 20 Percent kuchukua tuzo hizi za kilimanjaro,japo akuhudhulia tuzo hizo ila tuzo zake zilipokelewa na producer wake Man Water,big up sana kaka kaza buti

No comments:

Post a Comment

wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia