Sunday, March 27, 2011

KIKOSI KUITEKA DAR NDANI YA MAISHA CLUB JPILI

                                                              Ibrah RuSH ktk pozi

                                                                  Kalapina ndani ya pozi

siku ya jpili 27 march kikosi cha mizinga with kalapina watazindua album yao inayokwenda kwa jina la MIASHA YANGU NYIMBO TOSHA wakisindikizwa na watu kibao Mwana Fa,Ay,Madee ,Godzilla ,Kimya, Black T,Ukoo Flani Mau mau watotot wote wa kino B.o.b  Ibrah Rush,Big DOG Pozy na wengine wengi,hii sio ya kumiss maana wajanja wote watakuwepo kule

No comments:

Post a Comment

wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia