Saturday, March 26, 2011
MISS KINONDONI 2009 AMNE NG'HUMBI NA DEGREE NDANI YA UK
Miss kinondoni 2009 Amne ng'humbi akiwa pande za London kimasomo ktk chuo cha Uni of Buckingham LLB kilichopo Uk,Miss Amne ni moja ya mamiss tanzania ambao waliowezafanikiwa kielimu ukilinganisha na mamiss wengine,kipindi anashiriki umiss alikuwa akisubiri matokeo yake ya A level,akiwa bado ktk mashindano Amne alipata matokeo yake ya A level akiwa ktk kinyanganyilo cha kumtafuta kitongoji cha miss moroco,na matokeo yalikuja Amne alifaulu kwa kiwango cha darjaa la kwanza yani DIVISION 1 na pia kwenye umiss akaja kufanya vizuri,hii inaonesha jinsi gani miss huyu alivyo makini kwa kile anachofanya,sis kama Smiling faces tunamtakia mafanikio mema ktk masomo yake hayo aweze fanya vizuri kama historia yake inavyojieleza.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia