Tuesday, March 29, 2011

UZINDUZI WA KIKOSI CHA MIZINGA WARUDISHA HISTORIA

KIKOSI CHA MIZINGA WAKOSHA WADAU WA HIP HOP




Uzinduzi wa album ya kikosi cha mizinga inayokwenda kwa jina la MAISHA YANGU NYIMBO TOSHA umerudisha heshima ya hip hop,uzinduzi huo uliohudhuliwa na watu kibao wanaharakati wa hip hop Tanzania,uzinduzi huo ulihudhuliwa na kina ZAVALA,LINDU producer wa hip hop,IMAM ABASS na wadau mbali mbali wa hip hop,hii inaonesha heshima kubwa ya muziki wa hip hop,Kalapina anasema haikuwa laisi kutetea na kusimamisha hip hop mbele ya watu wasiotaka kuuskia muziki huu ukiendelea kuishi,ila  mapinduzi yamefanikiwa kwa kiasi flani kwa kuwashawishi wale walioupinga muziki huu na kuona madhumuni ya Kalapina kwenye muziki wa hip hop,Uzinduzi huu ulipewa suport na wasanii kibao kama Mwana fa na Ay,Nash mc,Capital l8er,Kino massive Bdp, kutoka kenya yupo Kimya......,kuna Hard mad,Ibrah rush,Dogo Zimwi na wengine kibao,amani kwa Kalapina kwa kuwa na moyo wa pekee kutetea muziki wa hip hop maana katoka nao mbali sana.

No comments:

Post a Comment

wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia