NI MSONGAMANO WA MAWAZO,
watu wengi sana Tanzania wamekuwa wana hathiliwa na ugonjwa huu wa msongamano wa mawazo na wengi wao hufa,tathmini na uchunguzi uliofanywa na wataalamu wa saikolojia na madakatri wengi wamegundua matatizo na vifo vingi usababishwa na hii japo watu wengi vita vikubwa wameviweka kwenye UKIMWI,MALARIA,KANSA na magonjwa mengineyo ila hili wamekuwa wakilipuuza,sababu zilizotambulika ikiwa na hali ya maisha ya watanzania wengi kuwa ngumu,tuliongea na mmoja wa mtaalamu wa masuala haya bwana John Mbaga alisema utakuta mtanzania mmoja anaweza kuwa na familia ya watoto watano na watoto wote hawa wanasoma na wanamtegemea yeye na yupo kwenye nyumba ya kupanga na matatizo kibao yana mkabili mbele yake basi hii upelekea kumletea hathali ndani ya kichwa chake.


Watanzania wengi wanakabiliwa na ugojwa huu kwa aslimia kubwa sana,watu wengi utakuta wakiongea peke yao wakiwa barabarani hii yote inatokana namatatizo haya utakuta mtu akiwaza mengi na asiyapatie majibu,na ambao hawakuweza kustahimili mataizo haya uchukua huamuzi wa kujiua kabisa,wako wanaoumia kutokana na ugumu wa maisha wapo ambao wansumbuliwa ugojwa huu kwa ajili ya mapenzi pia,ila unashauriwa utapoona unakabiliwa na tatizo hili uwaone wataalamu husika wa maradhi haya kabla hayajaleta hathari kubwa.