Wednesday, May 11, 2011

BABY BOY WA IRENE UWOYA KUPEWA JINA LA STAR HAPA NCHINI?

Msanii wa filamu hapa nchini Irene Uwoya,amejifungua hivi karibuni,baada ya kukaa kwa mda mrefu tangu alipofunga ndoa mwaka 2008,Irene amejifungua majuzi tarehe 8 may katika hospitali ya Regency ya upanga jijini dar es salaam,na amebahatika kupata mtoto wa kiume,Irene baada ya kujifungua mtoto huyo amerudi Cyprus alikokuwa akiishi na mumewe huyo,mpaka sasa haijafahamika mtoto amepewa jina gani,basi maswali mengi yaliyokuja hivi sasa,watu wakiuliza mtoto ni wa kiume  kama yeye atatoa jina je atatoa jina la kwao au atachagua jina la star yoyote wa hapa nchini ambao amewahi kucheza nao filamu? haya ni maswali tu na fikra za watu majibu yote anayo yeye.



Irene Uwoya


Irene Uwoya akiwa na mumewe siku ya harusi yao

3 comments:

  1. wamuite kanumba ahaha au ray kigosi

    ReplyDelete
  2. afadhali amepata mtoto mana watu wameshamsema vibaya vya kutosha tu,haya mama kaa ulee mtoto sio siku mbili uko dar kucheza movie

    ReplyDelete
  3. I'm impressed, I have to admit. Seldom do I encounter a blog that's
    equally educative and entertaining, and without a doubt,
    you've hit the nail on the head. The problem is something not enough folks are speaking intelligently about.
    I am very happy I came across this in my search
    for something relating to this.

    Feel free to surf to my web page: breast actives (http://buyherbalmed.com/products/breastactives.html)

    ReplyDelete

wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia