Mwanamuziki Moja shaba Carolyne na mwanamuziki Makey wa Cape town
Producer Keshy, Mwanamuziki Moja Shaba akiwa na Mtangazaji Carolyne na mwanamuziki mackey
Kipindi cha Celebrity life style chafanya vizuri.nje. Mtangazaji wa kipindi hiko Carolyne Peter Zayumba anazunguka Africa Nzima kwa ajili ya kipindi hiko. Yeye ni msichana pekee Tanzania kuanzisha kipindi cha namna hiyo na atazunguka dunia nzima kwa ajili ya kuwa interview Celebrity mbali mbali.
No comments:
Post a Comment
wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia