Tuesday, January 24, 2012

BODI YA MIKOPO YAIBIWA MIL.91



Mahakama  inamshikilia Bi Esther Budili kwa tuhuma ya kuiibia bodi ya mikopo ya wanafunzi mil 91,Bi Esther mfanyakaz wa bodi yakutoa mikopo hiyo inasemekana aliweka majina ya wanafunzi hewa na kuchukua pesa hizo,baada ya kugundulika alifikishwa mahakamani nakusomewa mashitaka na sehemu alizodanganya majina hayo ni katika vyuo mbali mbali hapa nchini kuna BUGANDO,KCMC,MZUMBE, RUAHA na Chuo cha UANDISI,hakimu alipomsomea mashitaka hayo alikanusha na kesi kusogezwa mbele,kwenye upande wa dhamana alitakiwa kutoa kiasi cha mil 40 au hati ya kitu kisichohamishika chenye thamani inayolingana na pesa hiyo.

No comments:

Post a Comment

wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia