Tuesday, January 24, 2012

MGOMO WA MADTARI WAINGIA KWENYE SURA MBILI




Baada ya siku kadhaa zilizopita na habari kuenea kuwepo kwa mgomo wa madaktari Tanzania,leo hii umeingia kwenye sura mpya,baada ya wagonjwa wa muhimbili baadhi waliojiwa na kusema wanashangaa kuskia vyombo vya habari kuzidi kueneza habari kuwa mgomo bado upo wamepinga vikali na kusema hilo suala halipo na wanapata huduma kama inavyotakiwa,ila kwa upande mwingine kuna chombo cha habari cha gazeti kimeandika kuwa HODI YA MOI WATAABIKA KWA MGOMO WA MADAKTARI UNAOENDELEA.

No comments:

Post a Comment

wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia