Friday, January 20, 2012

MH. DR ROSE MIGILO WAFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI MULA MULA MJINI NEW YORK

 Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dr Asha-Rose Migiro alipokutana na Katibu Mtendaji mstaafu wa International Conference on Great Lakes Region (ICGLR) Balozi Liberata Mulamula alipofika kumtembelea kwa mazungumzo ofisini kwake Umoja wa Mataifa mjini New York.

No comments:

Post a Comment

wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia