Friday, January 20, 2012

FLOYD MAYWEATHER AMCHIMBIA MKWALA MAN PACQUIAO

Bondia maarufu nchini marekani FLOYD MAYWEATHER hivi karibuni alisikika akitema mkwara ndani ya mtandao wa TWITTER,akisema ''nakuita njoo tupigane may 5 tuipe dunia inachotaka kuona'' lakini upande wa kambi ya PACQUIAO walijibu na kusema hawapo tayari kupigana kwa tarehe hiyo ya FLOYD aliyotaka,

FLOYD MAYWEATHER

MANNY PACQUIAO

kwa upande wa mshauri wa kifedha wa Manny wanasubiri ukumbi mpya unaomaliziwa kujengwa wenye kuingiza watu 45000 huko Las vegas,alisisitiza na kusema ni upuuzi kulazimisha kupereka pambano ktk ukumbi mdogo na ikiwa kuna ukumbi mkubwa.

No comments:

Post a Comment

wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia