Ile fashion show inayo kuna miyoyo ya wengi hasa sisi ma-desingers wa Bongo imefana sana jana usiku maeneo ya Serena hotel zamani Movenpick. Hebu cheki mwenyewe matukio katika picha.
Aunty Asia akiwa na mumewe na models nyuma yao
Models on the runaway
Asha the winner of Smiling faces Tanzania Next top Model 2011
Chidi Benz nae alikuwepo
Aunty Asia akisaidiwa na Martin wanadi suti kwa ajili ya kusaidia waathirika wa madawa ya kulevya
Baadhi ya wageni waalikwa
No comments:
Post a Comment
wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia