Sunday, July 26, 2009


Super Model wa bongo kusakwa
Warembo 20 kutoka maeneo mbalimabli ya jijini wanatarajiwa kushiriki kwenye shindano la kumsaka mwanamitindo bora wa Tanzania atakaejulikana kama Tanzania Super Model. Akizungumza jijini mratibu wa shindano hilo Caroline Zayumba kutoka Smilling Face alisema fomu za shindano hilo zimeshaanza kutolewa hivyo washiriki wajitokeze. Zayumba alisema fomu zinapatikana kwa wingi . ...Zawadi za mshindi wa shindano hilo zitatangazwa baadae....alisema Zayumba. Zayumba alisema lengo la kuandaa shindano hilo ni kuinua vipaji vya sanaa hasa kupitia urembo nchini na kumsaka mwanamitindo bora nchini.

No comments:

Post a Comment

wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia