Sunday, July 26, 2009

JE UNA KIPAJI CHA KUIGIZA?

SMILING FACES COMPANY inatafuta ACTORS & ACTRESS, watakao cheza ktk series movies, sifa za muigizaji awe na umri kati ya miaka 18 hadi 50 Na awe anajua kuongea lugha mbili(english & swahili)
kama wewe unajua una kipaji contact 0787501855- 0755 501855

No comments:

Post a Comment

wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia