Saturday, March 26, 2011

TANZANIA KILI MUSIC AWARDS 2011

Hard mad kidume mkushi alamba tuzo ya kili music award wimbo  bora wa rege,
na wengine waliobahatika kubeba tuzo ni pamoja na lina toka tht na tuzo ya msanii chipukizi,
orodha ya watu waliochukua tuzo hii hapa

Wimbo bora wa zouk-Barnaba
Mtunzi bora nyimbo- 20 percent
Wimbo bora wa raggae- Hard mad
Wimbo bora wa rnb- Ben Paul
Wimbo bora wa dance hall- Cpwaa
Mtarishaji bora wa nyimbo(producer)-Lamar
Wimbo bora wa E.africa- nisamehe by Kidumu
Msanii bora wa hip hop- Joe Makini
Wimbo bora wa hip hop-Ukisikia paa by JCB
Wimbo bora wa mwaka- Action by Cpwaa
Rapa bora wa band- Khalled Chokoraa
Msanii mpya anaechipukia- Linah
Hall of fame-TBC
Hall of Fame kwa mtu binafsi- Saidi Mabele
Muimbaji bora wa kiume- 20 percent
Wimbo bora wa mwaka- 20 Percent
Msanii bora wa kike-Lady JD


cpwaa akiwa ktk pozi na mrembo Trinity toka pande za LA(ACTION)

                                 
                                                         Msanii Ben Paul ktk pozi

No comments:

Post a Comment

wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia