Friday, January 27, 2012

SHILOLE NDOTO YAKE YAKAMILIKA

                                                      SHILOLE

MSANII mrembo wa tasnia ya filamu bongo, Zena Muhamed ‘Shilole‘, amesema anajisikia ni mtu mwenye furaha kwani amechumbiwa na mwanaume mmoja ambaye ni mfanyabiasha wa mafuta kutoka mkoani Tanga. Msanii huyu kwa muda mrefu amekuwa akitafuta mwanaume wa kumuoa ambapo sasa anaonekana kuwa na furaha kwani ndoto yake ya imetimia. Shilole alisema kuwa ndoa yake itafungwa muda wowote baada ya maandalizi...

No comments:

Post a Comment

wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia