Monday, July 27, 2009

FASHION WEEK

JANUARY 19,2009 THE FIRST S.A LABEL TO SHOW AT NEW YORK FASHION WEEK.
Ilikuwa ni siku ya furaha kwa NKHENSANI NKOSI. huyu ni mmoja wa designer kutoka SOUTH AFRICA. Alialikwa NEW YORK kwa ajili ya fashion design.
Aliongozana na wanamitindo mbalimbali kutoka Africa. na hao ni GATE (ETHIOPIA), BEHAT STRIKES(NAMIBIA), UBAH(SOMALIA), miongoni mwahao alikuepo model kutoka TANZANIA(HAPPYNESS MAGESE anajulikana kwa jina la MILLEN) Kwasasa anaishi S.A
Fashion show ilipendeza sana kwa kupita ALEK Top Model from SUDAN ila makazi yake makuu ni U.S.A

No comments:

Post a Comment

wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia