Sunday, July 26, 2009

Tanzania super model

Smiling faces company wanakuletea shindano la kuwatafuta models wa kike na wa kiume,
litakalofanyika mwisho wa mwaka huu 2009 at Dimond Jubilee,form zinapatikana at MZALENDO PUB(MILLENIUM TOWER),KP FASHION, SUMMER MIX(NAMANGA), PREMERE GARDEN(MBEZI BEACH)

No comments:

Post a Comment

wadau unakaribishiwa kutoa comment ilimradi ziwe za kujenga na kuelimisha pia